WhatsApp Kuruhusu Kutumia Namba Mbili Kwenye App

WhatsApp Kuruhusu Kutumia Namba Mbili Kwenye App


WhatsApp wanakuja na toleo jipya la kutumia namba mbili (account) kwenye WhatsApp moja. Kama ilivyo kwa mitandao mingine kuweza ku-add account.


Hivi karibuni Kampuni ya #META inayomiliki mitandao ya Whatsapp, Instagram na Facebook, wamekuwa wakifanya maboresho mapya (updates) katika mtandao wa WhatsApp.


Kwa mujibu #WabetaInfo inaeleza kuwa sasa huduma hii inatolewa kwa watumiaji wa #WhatsApp BETA, yaani watumiaji ambao wanapata nafasi ya kujaribu matoleo mapya kabla ya kuachiwa kwa watumiaji wote.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad