Yanga Waja na KI Day, Mashabiki Kuvaa Bukta na Kushika Funguo Uwanjani

 

Yanga waja na KI Day, mashabiki kuvaa bukta na kushika funguo uwanjani

Yanga waja na Ki Day, mashabiki kuvaa bukta na kushika funguo uwanjani 

Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema mchezo wao wa marejeano dhidi ya Al Merekh ya Sudan siku ya Jumamosi Septemba 30, 2023, wameupa jina la Ki Day.

Akizungumzia maandalizi ya mchezo huo hii leo Septemba 26, 2023, Kamwe aliwataka mashabiki kuja kimtoko wa Aziz Ki katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar kuishangilia timu yao.

"Hii itakuwa ni Ki Day, siku hiyo naomba mashabiki wote tuvae bukta sasa mtasema sijui sina mguu wa kuvaa bukta hapana kila mtu anao mguu wa kuvaa bukta.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad