Ahmed Ally Akubali Mziki wa Yanga, Adai Wamekamilika Idara zote




"Tunakwenda kucheza mechi ngumu kwelikweli, tunakwenda kukutana na mpinzani mgumu kwelikweli, mpinzani ambae amekamilika idara zote, mpinzani ambae yupo fiti kwa asilimia 100, ni mechi ambayo Wanasimba tunapaswa kujitoa muhanga kwelikweli kuweza kupata matokeo" ~ @ahmedally_ Afisa Habari na Mawasiliano wa Simba SC

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad