Mchambuzi: Ukubali Ukatae Yanga ndio Bingwa Ligi Kuu

Mchambuzi: Ukubali Ukatae Yanga ndio Bingwa Ligi Kuu


Baada ya klabu ya Yanga kupoteza mchezo wa ugenini dhidi ya Ihefu, wadau wengi wa soka hapa Tanzania wameanza kuiondoa Yanga kwenye mbio za ubingwa


Lakini ukizitazama timu ambazo ziko katika mbio za ubingwa katika nafasi za juu yani Azam na Simba bado hazina muunganiko bora wa kitimu, Inawezeka ikazipelekea timu izo kutofanya vizuri katika mechi zao nyingi zijazo kutokana na kushuka kwa viwango kwa wachezaji au majeraha kwakua timu zinategemea ubora wa mchezaji mmoja


Yanga inanafasi kubwa kwakua timu inaonekana kuwa bora kiuchezaji na kuungana kwa wachezaj katika mfumo wa kocha Gamond, Hali hiyo inaweza kuipelekea Yanga kuwa bora katika michezo mingi kutokana na ubora wa kikosi kiujumla na mabadiliko ya wachezaji wa ndani ya kikosi cha kwanza na wale waliopo benchini wako kwenye usawa wa viwango.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad