Bila hela hakuna penzi - Poshy Queen



Mrembo mwenye shepu yake mjini Poshy Queen ameweka wazi kuwa, bila kuwa na hela hakuna mapenzi.

Amesema, yeye anazingatia sana maokoto kwani hilo ndilo linamwezesha kufanya kila kitu maishani. Anakwambia kuwa zawadi yake kubwa ni "PESA" hata kwenye Mapenzi Pesa ni muhimu.

"Nitasemaje zaidi ya pesa. Pesa ndio kila kitu hivyo kama hujanipa hela hakuna mapenzi na ndio zawadi nzuri kwangu mimi," alisema Poshy.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad