Bondia Francis Ngannou Alilipwa Bilioni 25 Kupigana na Tyson Fury


Bondia raia wa Cameroon Francis Ngannou inaelezwa kuwa alilipwa kiasi cha dollar Milioni 10 ambazo ni karibu Bilioni 25 za Kitanzania Katika pambano lake la juzi dhidi ya Tyson Fury wa Uingereza, kiasi hiko ni bila kujali matokeo Kama aidha angepigwa au kushinda.

Pambano hilo lilimalizika kwa Fury kushinda kwa pointi za majaji wawili dhidi ya mmoja !

Huo mpunga hapo umeingia kwa usiku mmoja na ni chini ya lisaa 🙌

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad