BREAKING: Kwa Mara ya Kwanza Tanzania Inaingiza Timu 2 Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika


Kwa mara ya kwanza Tanzania inaingiza timu mbili hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika; Ni baada ya Simba kufuzu hatua hiyo leo kwa faida ya goli la ugenini….

FT: Simba 1-1 Power Dynamos (Agg: 3-3)
Jana Yanga ilifanikiwa kutinga makundi baada ya kuichapa Al Merreilk bao moja kwa sifuri

Neno moja kwa wana Msimbazi….

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad