BREAKING: Mange Kimambi Aolewa Tena na Mzungu


Mange Kimambi(43) aolewa tena na mzungu

Marafiki zake kadhaa wa karibu wamepost picha na kumpongeza mwanamitandao/mwanahabari huyo maarufu

Kabla Mange akiwahi kuolewa na mzungu mwingine ambapo ndoa yao ilidumu kwa miaka kadhaa na wakaajliwa watoto 2 wa kiume ambao wamehudhuria ndoa ya sasa ya mama yao na mwanaume mwingine

Miezi kadhaa iliyopita Mange alieleza kuwa mwanaume wake wa kizungu mpya anayeonekana ndie huyu aliyefunga nae ndoa walikutana mtandaoni katika moja ya app maarufu ya kuunganisha wachumba/mke/mume. Mange aligusia hayo wakati alipokuwa akitoa ushauri wa namna bora ya kupata mwenzi sahihi mitandaoni

Pamoja na hayo, Mange ambaye kitaaluma ana degrees mbili za vyuo vikuu tofauti, ana mtoto mwingine mkubwa wa kike kwa jina la Bhoke anayesomea sheria chuo kikuu nchini Uingereza, baba wa mtoto wake huyo wa kwanza ni Frank Gonga ambaye ni mmoja wa wanamitindo maarufu wakongwe nchini

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad