Diamond Platnumz Achuana na Burna Boy, Asake Tuzo za MTV Europe

Diamond Platnumz Achuana na Burna Boy, Asake Tuzo za MTV Europe


Msanii Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards katika kipengele cha msanii bora Africa.


Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa #Mtv wametoa taarifa hiyo kwa kuandika “pongezi nyingi kwa Diamond kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya Best African Act.”


Huku katika kinyang’anyiro hicho wasanii wengine wanaowania katika nafasi hiyo ni #BurnaBoy, #Asake, #Libianca na #TylerICU

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad