Faiza Ally Afurahia Tetesi za NDOA ya SUGU na HAPPY Kutetereka "Malipo ni Hapa Hapa Duniani"


Faiza Ally Afurahia Tetesi za NDOA ya SUGU na HAPPY Kutetereka "Malipo ni Hapa Hapa Duniani"


Tetesi za NDOA ya SUGU na HAPPY kutetereka zamuibua FAIZA "naomba wakaangwe mpanga wachakae"

Faiza Ameandika haya:

"Ushauri wa bure kwa wanawake msitumie nguvu kubwa kutenganisha watu na wapenzi wao ! msitumie nguvu kubwa kuolewa na mtu ambae moyo wake uko kungine , usiroge sana kumpumbaza mtu , akishtuka madhara yake ni makubwa kuliko kuwa single 😄
Tumia nguvu kubwa kujiimarisha kuwa bora zaidi ya Jana , bora uroge upate hela sio mapenzi , mapenzi ni kitu halisi hakina mbambamba kabisa Eeh baba watu wana post na kufuta maana picha hazina uhusiano 🤣🤣🤣
Hlf Nyie washauri kuanzia marafiki mashemeji mama wake maboss na mawifi wkt mtu moyo wake una teseka Nyie hamkogo tena mkisha toa ushauri wa hivyo na ku destroy mioyo watu , mambo yakiharibika wala hamuhusiki hebu mue mna acha watu wafate mioyo yao ! Eeh Mungu naomba wasiachane yaani wajikaange mpaka waungue , Yaani mpaka wakiachana wawe wamechakaa mpaka hawatizamani 😂
Kweli malipo duniani hamna cha ukifa wala kufufuka Yaani unalipwa kulingana na matendo Alhamdullilah, tujitahidi kuwa watu wema Jamani tulipwe wema Mungu hakopeshi anakupa muda tu wa kijitafakari na huruma akiona huelewi anakupa una chostahili"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad