Geita nao Wapania, Wataka Kuwachapa Yanga Kama Ihefu

Geita nao Wapania, Wataka Kuwachapa Yanga Kama Ihefu

 Geita nao Wapania, Wataka Kuwachapa Yanga Kama Ihefu

Baada ya jana Wananchi kuziacha alama tatu katika dimba la Highland Estates mbele ya Ihefu SC, Geita Gold wamewatumia ujumbe Yanga SC wakisema “tuwe wakweli tunazitaka hizi point 3.”

Jumamosi ya Oktoba 7, 2023, Yanga itakuwa ugenini katika dimba la CCM Kirumba, Mwanza kuzisaka alama tatu za NBC Premier League.

Geita Gold itafanikiwa malengo yake? Mechi itapigwa saa 10:00 jioni

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad