Habari Mbaya: Timu ya Kocha Nabi na Morrison FAR Rabat Yatupwa NJE Ligi ya Mabingwa

Habari Mbaya: Timu ya Kocha Nabi na Morrison Yatupwa NJE Ligi ya Mabingwa

Habari Mbaya: Timu ya Kocha Nabi na Morrison FAR Rabat Yatupwa NJE Ligi ya Mabingwa

Miamba ya Morocco, FAR Rabat inayonolewa na aliyekuwa Kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 3-1 dhidi ya Etoile Sahel ya Tunisia.

FT: FAR Rabat 1-2 Etoile Sahel (Agg. 1-3)

Red card: Marour18

⚽️Zouhzouh 90+4′

⚽️Naouali 20

⚽️Aouani 64′

Winga wa zamani wa Yanga SC na Simba SC Bernard Morrison alianza kwenye mchezo huo.

Nabi ameaga mashindano ya CAFCL kikatili baada ya mchezaji wake Zouhair Marour kula umeme dakika ya 18 tu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad