Haji Manara "Nasikia Wamepanga Kuniongezea Adhabu"



"Nimepewa taarifa kuwa mpaka sasa sijatumikia adhabu yangu hivyo ikifika mwakani wataniongezea tena adhabu.

"Mimi sijaikosea taasisi, juzi nilimsikia ananidhalilisha kwenye vyombo vya habari kuwa nimeokosea taasisi. Watu wote walikuwepo Tanga, walisikia kila kitu lakini wako kimya.

"Nimepambana sana kuisemea Taifa stars lakini hawaoni mchango wangu. Hata kama ninamapungufu yangu lakini ninamchango wangu pia." Haji Manara akiwa Clouds FM katika kipindi cha Leo Tena.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad