Msanii Harmonize atoa majibu ya clip aliyo itamka jana jukwaani kwamba anampenda mrembo @hamisamobetto sio serious ila alikuwa amelewa kwahivyo msanii @harmonize_tz kaomba ipuuze kauli hiyo.
Hadi sasa mrembo hamisa hajajibu ila @mangekimambi_ ameingilia kati kwa kusema harmonize hafai kua na hamisa na hamisa asije siku akajiroga akamkubalia.
Una maoni gani?