Harmonize Kutoa Tsh 100,000 kwa Kila Dereva Bajaji Atakayebandika Picha ya Hamisa Mobetto

Harmonize Kutoa Tsh 100,000 kwa Kila Dereva Bajaji Atakayebandika Picha ya Hamisa Mobetto


CEO wa KondeGang, Harmonize ametangaza dau la shilingi laki 5 kwa kila dereva wa bajaj aliyebandika picha yake au ya Hamisa Mobetto kwenye chombo chake.


Harmonize amesema kuwa ataanza kutembea kwenye maeneo mbalimbali jijini na kila atakapoona bajaj yenye picha yake basi atatoa fedha hizo cash papo hapo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad