Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Ihefu

 

Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Ihefu

 Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Ihefu

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Timu ya Yanga inashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuvaana na wenyeji Ihefu Jijini Mbeya.


Mchezo huo wa mzunguko wa nne wa Ligi Kuu Bara unapigwa katika Uwanja wa Highland Estate, uwanja ambao una kumbukumbu mbaya kwa Yanga kwani msimu uliopita ulivunjwa mwiko wa kutopoteza mechi za Ligi baada ya kukubali kichapo cha magoli 2-1 na kutibua rekodi ya "unbeaten"


Yanga wanashika nafasi ya pili katika jedwali la msimamo wa Ligi wakiwa nyuma ya vinara Azam FC wenye alama 10 baada ya michezo minne huku Yanga wakiwa na alama 9 baada ya michezo mitatu.


Hiki hapa ndio kikosi cha Yanga kinachokwenda kuanza mchezo dhidi ya Ihefu;

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad