Hivi Hapa Viingilio vya Simba Vs Al Ahly, Fifa na CAF wanunia VIP zote


"Viingilio vya mchezo wetu wa African Football League dhidi ya Al Ahly siku ya ijumaa, Oktoba 20, 2023 tumepanga kwa kuangalia hali za watu wetu.

Platinum - Tsh. 200,000
VIP B- Tsh. 40,000
VIP C - Tsh. 30,000
Machungwa - Tsh. 10,000
Mzunguko - Tsh. 7,000.

Hatutakuwa na VIP A sababu jukwaa limechukuliwa na FIFA na CAF."- Ahmed Ally.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad