Huyu Hapa Kocha Mpya wa SINGIDA Fountain Gate

 

Huyu Hapa Kocha Mpya wa SINGIDA Fountain Gate

Klabu ya Singida Fountain Gate FC imemtangaza mkufunzi Ricardo Ferreira raia wa Brazil kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua nafasi Mjerumani, Ernest Middendorp aliyebwaga manyanga kwa kile alichodai kuwa ni kuingiliwa katika majukumu yake.

Klabu ya Singida Fountain Gate FC imemtangaza mkufunzi Ricardo Ferreira raia wa Brazil kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua nafasi Mjerumani, Ernest Middendorp aliyebwaga manyanga kwa kile alichodai kuwa ni kuingiliwa katika majukumu yake. Ricardo ana rekodi ya kufundisha vilabu vikubwa barani Afrika kwa mafanikio vikiwemo Al Hilal ya Sudan, Al Merrikh SC ya Sudan na lsmaily SC ya Misri.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad