Jada Pinkett Smith Atoboa SIRI Kuachana na Mumewe Will Smith


Katika mahojiano na Todayshow, mwigizaji Jada Pinkett Smith amekiri kuwa yeye na Will Smith wametengana kwa muda wa miaka 7 sasa ila mbele ya watu wamekuwa wakiwapa picha yao kuwa bado ni wanandoa wenye furaha ingawa walikuwa wakiishi maisha tofauti.

Alipoulizwa kwa nini wamekuwa wakiweka picha hiyo kana kwamba hawajatengana, Jada alisema, "Nafikiri, bado hatujawa tayari, bado tunajaribu kufikiria kati yetu wawili jinsi ya kuwashirikisha watu, bado hatukuwa tayari'.

Jada anasema kilichosababisha wao kutengana Mwaka 2016 ni 'Kuchoka kujaribu kuweka ndoa yao sawa' ila anasema hio sio sababu tosha ya kupeana talaka,

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad