Kipa wa Yanga Djigui Diarra Ameshindikana Afrika

 

Kipa wa Yanga Djigui Diarra Ameshindikana Afrika

Kipa Bora wa ligi kuu Tz kwa misimu miwili mfululizo Djigui Diarra raia wa taifa la Mali ameendelea kuwa mhimili mkubwa langoni akiwa na kiwango bora nani ya taifa lake na katika milingoti mitatu akiwa na jezi ya Wananchi Yanga Sc.


Diarra usiku wa Ijumaa alidaka mechi yake ya 4 mfululizo bila kuruhusu bao katika mechi ya kirafiki waliopata ushindi wa bao 1 kwa bila dhidi ya Uganda The Cranes.


Diarra hajafungwa mechi dhidi ya mataifa kama Uganda, Ivory Coast na wengineo huku timu yake ya Taifa ikipata ushindi wa mechi 3 na kutoa suluhu dhidi ya Ivory Coast ya akina Sebastian Haller Haller mshambuliaji wa klabu ya Borussa Dortmund inayoshiriki ligi kuu Ujerumani (Bundesliga)


Ikumbukwe Djigui Diarra anaongoza kwa Clean sheets ligi kuu Tz msimu huu pia {3}


Bila kupepesa macho huyu ni moja ya wachezaji wa kutumainiwa katika kikosi cha Taifa la Mali na mabingwa wa kihistoria Tanzania Bara Yanga Sc.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad