Klabu ya Al-Ahly Baada ya Kuona MOTO wa Simba Kwa Mkapa, Wawarejesha Mastaa Watatu Hatari Kikosini

 

Klabu ya Al-Ahly Baada ya Kuona MOTO wa Simba Kwa Mkapa, Wawarejesha Mastaa Watatu Hatari Kikosini

Klabu ya Al-Ahly imethibitisha kuwa Mlinzi wao wa kushoto mwenye magoli 50 katika klabu hiyo Ali Maaloul aliyeukosa mchezo wa Dar wa michuano ya AFL amerejea kwenye kikosi hicho Kuelekea mechi ya marudiano ya AFL dhidi ya Simba huko Misri.


Pia klabu hiyo imethibitisha kuwa Emam Ashour nae atakuwa seheme ya wachezaji watakaoitumikia klab hiyo kwenye mchezo huo ujao wa AFL,


Vilevile mshambuliaji wao mpya ambaye amewahi kucheza ligi kuu ya Ufaransa na Ujerumani Anthony Modeste ambaye hakuweza kusafiri na wenzake kwenda nao Dar es Salaam kwenye mchezo wa awali wa AFL dhidi ya Simba Kutokana na Masuala ya Kiafya kwa upande wake, nae amerejea kwenye kikosi Kuelekea mechi hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad