Klabu ya Man City imeshinda tuzo ya Klabu Bora ya mwaka katika usiku wa tuzo za Ballon d’Or, Man City walikuwa na msimu bora sana kwa kufanikiwa kutwaa mataji matatu (treble) ambayo ni mataji ya EPL, Champions League na FA Cup.
Klabu ya Man City imeshinda Tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka Tuzo za Ballon d’Or
0
October 31, 2023
Tags