Kwa Mara ya Kwanza Mange Kimambi Afunguka Kuhusu Mtoto wa Hamisa 'Dylan ni Mtoto wa Dai kwa 100%.'

Kwa Mara ya Kwanza Mange Kimambi Afunguka Kuhusu Mtoto wa Hamisa 'Dylan ni Mtoto wa Dai kwa 100%.'

Kwa Mara ya Kwanza Mange Kimambi Afunguka Kuhusu Mtoto wa Hamisa 'Dylan ni Mtoto wa Dai kwa 100%.'

Ameandika haya Mange Kimambi:

"Kwa mliokuwa mnasuburia niongelee hili nilikuwa busy na mabadilisho ya ulipaji tunayofanya kwenye app..

Anyways ni hivi, take it from me Dylan ni mtoto wa Dai kwa 100%. DNA ilifanyika na mtoto ni wake. He knows it, ila sasa hivi anataka Hamisa akafanye nae DNA ingine nje ya nchi akidai kwamba DNA ya bongo ni za uwongo. Hamisa amegoma kwenda kufanya DNA ingine, akimuuliza why watoto wengine hajadai DNA except Dylan na tena DNA imetoka mtoto wake na sasa anadai DNA ya pili? Hamisa kaamua basi kama hataki ila mwanae kufanyishwa DNA kila siku hataki.

Guys inabidi muelewe kitu, Diamond anamchukia Misa with a passion and mostly anamchukia coz ndo Mwanamke pekee kwenye maisha yake ambae amepanda juu baada ya kuachana nae. Kazoea wanawake zake after yeye huwa wananshuka kiwango ila kwa Misa imekuwa opposite. So Diamond ana ile bitterness .

Diamond anamkataa Dylan kumboa Misa tu ila mtoto niwake na imeshakuwa proven kwa DNA.

Naomba next time aulizwe na waandishi hili swali? Je wewe Hamisa na Dylan mlishafanya DNA test? Na majibu yalikuwaje?? Aulizwe hilo swali mumuone atakavyoanza kujiuma uma, and that’s because DNA imefanyika na mtoto ni wake… Seriously aulizwe hili swali na ajibu yes or no bila maelezo marefu. Yani akiulizwa wewe Misa na Dylan mlifanya DNA, ajibu yes or no, hatutaki maelezo mengine. Then aulizwe je majibu yalitoka mtoto ni wako au sio? ajibu ndio au hapana bila kuleta maelezo marefu yasio na kichwa wala miguuu.

Kwangu mimi naona Dylan hakuna anachokosa kwa kukataliwa na Dai sababu sioni hata utofauti kwa hao watoto wengine wanaomuona baba once a year.

Uzuri ni kwamba siku zote Mungu huwa hawaachi watoto wanaokataliwa, mtakuja kuniambia 20 years from now kama Dylan haitokuwa mwenye mafanikio compare na hao ambao leo ndo wanaonekana ni watoto. Seriously tuko hapa. Mungu anajuaga sana kuwaheshimisha watoto waliodharaulika utotoni na kuonekana sio watoto.

Kwa kuwarahisia tu watanzania , Diamond aliamua kumkataa Dylan baada ya Hamisa kugoma kufanya DNA ya pili South Africa huku watoto wengine hawajafanyishwa DNA hata moja. Alikuwa anamtafutia Misa sababu tu.

Nikiripoti kutoka Marekani, ni mimi dada wa taifa." Mange Kimambi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad