Laana ya Kumkataa Kocha NABI Yaendeleaa Kuwatafuna Kaizer Chiefs, Kocha Waliomchagua Wenyewe Utopolo Mtupu

 

Laana ya Kumkataa Kocha NABI Yaendeleaa Kuwatafuna Kaizer Chiefs, Kocha Waliomchagua Wenyewe Utopolo Mtupu

Mabingwa wa zamani wa Afrika Kusini, Kaizer Chiefs ni kama mambo yamewagomea kabisa msimu huu chini ya Kocha Molefi Tseki ambaye walimchagua wenyewe baada ya kuamua kutomwajiri Kocha Nabi na benchi lake la ufundi, Mashabiki wameanza ulaumu uuongozi kubadili kocha

Matokeo ya mechi 7 za Mwisho kwa Chiefs.

1-1 Sundowns

0-0 Royal AM

0-1 SuperSport

1-2 Sundowns

2-1 Sekhukhune

0-1 Cape Town City

0-1 AmaZulu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad