Linah Sanga " Napenda Kuvaa Nusu Uchi Sababu Nataka Kufurahisha Mashabiki zangu"


"Kuhusu picha zangu za nusu utupu naomba mashabiki zangu wasijisikie vibaya kwasababu mimi ni msanii, lazima mashabiki waenjoy kila kitu wanachokiona kwangu. Ukisema watu wafurahie mziki tu inakuwa siyo, wafanye waenjoy kila sehemu ya mwili wako ili uwe wa tofauti na mwenye vionjo vingi" - Linah Sanga ameiambia Lavidavi Wasafi FM

"Lakini siwi mtupu muda wote, kuna muda navaa nguo za heshima Lakini kuna muda navaa nguo za kawaida na kuna muda navaa nguo zenye kuachia maungo yangu. Inategemea na sehemu nilipo, kanisani, klabu au beach"- Linah Sanga ameiambia Lavidavi by @divatheebawse Wasafi Fm

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad