Lionel Messi Mchezaji Bora wa Dunia Ballon d’Or


Staa wa Inter Miami na Timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi amefanikiwa kumshinda Erling na kushinda tuzo yake ya nane ya Mchezaji bora wa Dunia Ballon d’Or.

Hii inakuwa ni tuzo yake ya nane,
Messi amewahi kuchukua Ballon d’Or katika miaka 2009, 2010, 2011, 2012, 2015, 2019 na 2021.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad