Madhaifu ya Mwamuzi Faida Kwa Simba Leo...Waichapa Singida Fountain Gate



Mechi ya imemalizika kwa Simba kupata alama tatu muhimu kutoka kwa Singida Fountain Gate.

Magoli ya Simba yamefungwa na Saido Ntibanzonkiza na Moses Phiri huku la Singida Fountain Gate likifungwa na Deus Kaseke.

Kwenye mechi hiyo kuna bao lilifungwa na Singida FG ambalo ni wazi halikuwa offside lakini mwamuzi wa mchezo alilikataa na kufanya mchezo kumalizika kwa 1-2.

Ukubwa na uzoefu wa Simba pamoja na madhaifu ya mwamuzi wa mchezo yamemnufaisha na rasmi anarejea kwenye kilele cha msimamo wa Ligi Kuu akiwa na alama 15.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad