Mama Zuchu "Nilimlea Zuchu Katika Maadili ya Dini, Diamond Platnumz Hatambuliki"


By Khadija Kopa - "Mimi kama mzazi nimemlea Zuchu kwenye maadili ya kidini na ya Kizanzibar, mpaka anaondoka mikononi mwangu alikuwa ni mwenye maadili mazuri tu lakini sasa mtoto akishakuwa mtu mzima anajipangia mwenyewe huwezi kumuamulia"

"Mpaka sasa mahusiano ya Zuchu siyajui kwasababu mahusiano tunayoyajua sisi na wazee wengine kwa utaratibu wa Utamaduni wetu mtu akija kuposa ndio unayajua mahusiano

"Lakini mahusiano ya nje siyajui anayajua yeye mwenyewe, nachojua bado hajaposwa, hakuna mahali kama kuna mtu ana mapesa yake au msaafu aje. Diamond hatambuliki kwasababu si mumewe, hajamuoa wala hajatoa mahali, milango iko wazi"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad