Mamelodi Waichapa Ahly, Watanguliza Mguu Mmoja Fainali AFL

 

Mamelodi Waichapa Ahly, Watanguliza Mguu Mmoja Fainali AFL

Mamelodi Sundowns imeingiza mguu mmoja kwenye fainali ya kombe la Afrika (AFL) kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Mabingwa wa Afrika, Al Ahly katika dimba la Loftus Versfeld, Pretoria Afrika Kusini katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali.


Bao pekee la Mamelodi katika mchezo wa leo limefungwa na Thapelo Maseko dakika ya 52'.


Mchezo wa marudiano katika dimba la Cairo siku ya Jumatano, Novemba 1, 2023 utaamua atakayekata tiketi ya fainali.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad