Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) Yatoa Tahadhari, Mvua Kubwa Kunyesha


Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), imewataka wakazi wa maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Mafia, Pwani, Unguja na Pemba kuchukua tahadhari kwasababu Mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kwa siku 3 kuanzia leo Oktoba 29, 2023.

TMA imeonya kuwa Mvua zinaweza kusababisha Mafuriko pamoja na kuharibu shughuli za Kiuchumi hivyo Wananchi waepuke kukaa maeneo yenye msongamano wa Watu, pia, wahifadhi mahitaji muhimu ndani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad