"Mimi ndio dada yenu wa taifa na sijawahi kuwaangusha. Hili jambo la Dylan, Hamisa na Diamond nitahakikisha mnaujua ukweli.
.
Kwa vile kelele zimekuwa nyingi eapecially baada ya ile posti nikisema kuwa Dylan ni mtoto wa Dai wengi mlisema kuwa Hamisa akarudie tena hiyo DNA anayoitaka Diamond. Mimi kama dada wa taifa nimeongea na Hamisa leo na nimemuuliza kama yuko tayari wakarudie tena DNA ili Diamond ajifurahishe roho yake, alichojibu Hamisa ni kwamba, yeye kama Hamisa ameshakubaliana na hali kuwa Diamond kaamua tu hamtaki mtoto, ameshakubali kulea mwenyewe, na ameshamwachia Mungu. Hamisa anasema amemkabidhi mtoto wake kwa Mungu, Mungu ndio atakaemlelea mtoto wake na anasema kuna sababu Mungu kamwinua kimaisha ni ili aweze kumlea mwanae bila kupigizana kelele na baba mtu.
.
Nikamwambia Hamisa hapana, hili jambo sasa hivi limekuwa lakitaifa ndio umemwachia Mungu ila for the sake of your fans una obligation ya kukubali hii DNA irudiwe. Hamisa alinijibu na kusema sawa atafanya DNA ingine nchi yoyote mtakayotaka nyinyi wananchi ila this time anataka sehemu (Lab) itakayofanya hiyo DNA iwe public na matokeo ya DNA yapostiwe public, yaachiwe kwa taifa zima. Hataki tena kufanya private DNA inayosimamiwa na malawyer anataka DNA iwe public ili kusiwe na mjadala tena baada ya hapo. Na kasema anafanya only out of respect for people who have supported her from day one na hafanyi sababu anataka Diamond amkubali Dylan au sababu anataka mahusiano na Diamond. Kasema atarudia DNA ili kukata mzizi wa fitna.
.
Haya sasa upande wa pili ongeeni na mtu wenu aseme anataka DNA ingine ifanyike wapi, nchi gani na saa ngapi,au kama vipi awe mkweli tu aseme kaamua tu hamtaki Dylan.
.
.
Mbali na hiyo ya kufanyika DNA na Diamond akiwepo mimi kama Dada wa taifa nashauri kuwa Tanasha na Zari wanauwezo wa kumaliza huu mzozo bila hata kumshirikisha Diamond, kwa mfano Naseeb Jr na Dylan wanaweza kufanyiwa DNA Kenya na ikaonekana kama ni ndugu wa baba mmoja au sio..
.
@tanashadonna you can help Tanzanians solve this mystery hata kesho. Wewe na Hamisa ni marafiki kwanini msitusaidie wananchi kumaliza huu mzozo?" Mange