Mapacha Wakike Waliokufa Wakiongezewa Matiti Wazikwa

 

Mapacha Wakike Waliokufa Wakiongezewa Matiti Wazikwa

Mapacha Wakike Waliokufa Wakiongezewa Matiti Wazikwa

Miili ya watoto mapacha (17) waliopoteza maisha baada ya kupewa dawa za kukuza matiti yazikwa leo kijiji cha Bubale kilichopo kata ya Nkololo halmashauri ya wilaya ya Bariadi.


Wakiwa msibani hapo Afisa Ustawi wa Jamii wa halmashuri hiyo Shadrack Nundu, ameisisitiza jamii kufuata ushauri wa wataalamu ili kuepusha vifo visivyotarajiwa huku mkaguzi wa polisi kata ya Nkololo Agnes Henry akiitaka jamii kutokutumia njia za mkato kutatua changamoto zikiwemo za kiafya.


Yohana Saku ni baba mzazi wa watoto hao waliopoteza maisha amesema tayari alikuwa kaanza maandalizi ya kuwapeleka watoto wake shule ili waweze kuendelea na masomo yao badae waje waisaidie familia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad