Mazembe yatanguliza mguu mmoja nusu fainali AFL




TP Mazembe imetanguliza mguu mmoja mbele kwenye nusu fainali African Football League baada ya kuichapa Esperance ya Tu-nisia bao 1-0 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa

Bao la Mazembe limefungwa na Cheick Fofana dakika ya 11 na sasa wataenda nayo Tunisia kwenye mechi ya marudiano Oktoba 25

Pale Nigeria saa 3:00 usiku kinawaka pia wakati Enyimba watakapovaana na Wydad Casablanca ya Morocco.

Mazembe inakuwa ni timu ya pili kupata ushin-di kwenye AFL ambapo jana Mamelodi Sun-downs ilipata ushindi ugenini wa mbao 2-0 na  Petro De Luanda uwanja wa Estádio 11 de Novembro, Angola.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad