Mrembo Madeleine Aweka Ushahidi wa PICHA Akiwa Kitandani na Kiba

Mrembo Madeleine Aweka Ushahidi wa PICHA Akiwa Kitandani na Kiba

Mrembo Madeleine Aweka Ushahidi wa PICHA Akiwa Kitandani na Kiba

Mrembo aliyedai kuwa kwenye mahusiano na AliKiba kisha kumuumiza, leo ameamua kuweka ushahidi wa picha na video za kitandani akiwa na AliKiba akiwajibu waliosema anasema uongo.

Madeleine maarufu kama The Tanzanian Lioness ambaye ni Video vixen, Mwanamitindo na pia msanii kutoka Tanzania, ameweka wazi kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Alikiba kuanzia Oktoba mwaka 2022 mpaka mwezi Februari mwaka huu.

Kwenye mahojiano na Wasafi FM amelalamika kuwa Alikiba alimnyanyasa kingono na kumtumia, kisha kumwacha bila kumtimizia ahadi ambazo alikuwa amemuhaidi awali kwenye mahusiano yao.

Kupitia Instastory pia mrembo huyo amepost video ambayo anaonekana akiwa kwenye gari la Alikiba wakienjoy pamoja na kupost baadhi ya chats zake na Alikiba.

"Alikiba ni mtu ambaye hawaheshimu wanawake, alinitafuta kwa ajili ya kazi ya video yake ila mambo yalikua tofauti alianza kunitaka," amesema mrembo huyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad