Web

Mrembo Nai Afunguka 'Ukinihitaji Mimi Uwe na Milioni 10 Cash Mkononi'

Top Post Ad

Mrembo Nai Afunguka 'Ukinihitaji Mimi Uwe na Milioni 10 Cash Mkononi'

Mrembo na Mfanyabiashara @officiall_nai amesema kuwa kwa sasa amesitisha kutokea kama mrembo kwenye video za wasanii ila kama akitokea msanii akamhitaji acheze kwenye video yake basi amuandalie dau la Milioni 10

Mrembo Nai Afunguka 'Ukinihitaji Mimi Uwe na Milioni 10 Cash Mkononi'

"Kwasasa nimesimama kidogo kuhusika kwenye video za wasanii ila kama kuna msanii atanihitaji basi nitafanya kwa kuanzia Milioni 10 hicho ndo kiasi changu" amesema Nai

Mrembo Nai Afunguka 'Ukinihitaji Mimi Uwe na Milioni 10 Cash Mkononi'

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.