Msanii Juma Nature Afunguka Sakata la Kulipwa LAKI Tano na Wasafi "Simjui Aliyepost Vile"

 

Msanii Juma Nature Afunguka Sakata la Kulipwa LAKI Tano na Wasafi "Simjui Aliyepost Vile"


Legend wa muziki wa bongo fleva Juma Nature amekanusha taarifa zilizotokea siku za hivi karibuni zilizokuwa zikidai kuwa msanii huyo aligoma kufanya shoo ya Wasafi Festival kwasababu alitakiwa alipwe Tsh 500,000.


Wakati hakifanya mahojiano na chombo kimoja cha habari Nature amesema kuwa sio yeye alitoa zile taarifa zile na yeye aliona kama watu wengine walivyoiona japo ilipostiwa kwenye ukurasa wake wa Instagram.


"Mimi niliona na sikuchukua hatua yeyote kwasababu sielewi kitu, kwa kifupi mimi simjuwi ninani alieandika mana mi sina muda wa kuandika mambo hayo," amesema Sir Nature.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad