Mwakinyo Amkumbaka Marehemu Ruge Mutahaba "Tuliaminishwa ni Mnyonyaji Lakini Amekufa na Mziki Wake"


Mwakinyo Amkumbaka Marehemu Ruge Mutahaba "Tuliaminishwa ni Mnyonyaji Lakini Amekufa na Mziki Wake"

Ameandika Haya Bondia Mwakinyo:

"Wapo walio wahi kusema marehem ruge alikua mkandamizaji, mnyonyaji na aliwabana sana wasanii wa mziki na sisi wengi ambao tulichelewa kumfaham marehe tuliamini ni kweli… lakini cha ajabu amekufa na mziki umekufa hata kwa walio hisi kubanwa na uwepo wake ispokua umebaki kwa watu wa chache….hii ni nini..! hii ni ile tafsiri isemayo..ya kua usitarajie usicho nacho kwa ukubwa wako’ vitu na mambo huwenda kwa nguvu ya qadar, kesho imebeba tumaini kubwa mioyoni mwa wengi ni kweli lakini haituhakikishii vya kutosha kuyafanya tulio yashindwa leo..🥷 #mogadishufamily, watu kama mjomba😀 @mrishompoto watakua wamenielewa deep!! sana @tanga_kennell" Mwakinyo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad