Msanii wa Singeli Meja Kunta amefunguka alichoitiwa BASATA ni content ya video ya wimbo wake 'Shuu' ambao matamshi yake yanalenga watu wazima lakini waliotumika ni watoto.
Meja Kunta kulia, kati ni Katibu wa BASATA Kedmon Mapana na meneja wa Meneja wa Meja Kunta Juma Jangala
Meja Kunta amekiri kuwa sio kitu kizuri na ameambiwa aishushe video hiyo aliyotumia kufanya promotion kwenye akaunti yake.