Robertinho ni Mtu na Nusu Mtu Wangu

Robertinho ni Mtu na Nusu Mtu Wangu

 

Moja ya heshima ambayo Simba wanayo kwa sasa ni kuhakikisha wanamtumia vyema kocha Robertinho ambaye amekuwa wa kwanza kutofungwa na Al Ahly kwenye michezo miwili ambayo wamekutana.

Makocha wengine waliopita walifanikiwa kupata ushindi kwenye michezo ya Tanzania, lakini walipokwenda ugenini waliambulia vichapo.

Mbrazili huyu anakuwa wa kwanza kupata sare kwenye mchezo dhidi ya Ahly nchini Misri, lakini akiwa anaendelea kuweka rekodi ya kutofungwa kwenye mchezo wowote kuanzia msimu huu umeanza akiwa ndiye kocha anayeshikilia rekodi hiyo hapa nchini.

Unampa nyota ngapi Kocha Robertinho kutokana na uwezo wake?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad