Sijawahi Kuona Mvuta Bangi Kama Burna Boy - Msanii EdSheeran Afunguka

 

Sijawahi Kuona Mvuta Bangi Kama Burna Boy - Msanii EdSheeran Afunguka

Staa wa Muziki EdSheeran katika mahojiano ya hivi majuzi na Conan O'Brien amezungumza juu ya uvutaji wa Bangi wa Staa wa Nigeria Burna Boy huku akisema kuwa hajawahi kuona mtu anaevuta Bangi kama Burna.


Mwimbaji huyo wa Uingereza ambaye anakolabo ya kimataifana Burna Boy amesimulia jinsi studio yake ilivyofurika moshi kutoka kwa Burna Boy wakati wakirekodi.


"Kuna Msanii ambaye nilifanya nae kazi anaitwa #BurnaBoy, Sijawahi kuona Mtu yeyote anaevuta Bangi kama yeye"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad