Simba haooo! Wafunga Mzunguko wa Tano na Un Beaten 28

Simba haooo! Wafunga Mzunguko wa Tano na Un Beaten 28

 Simba haooo! Wafunga Mzunguko wa Tano na Un Beaten 28

Simba SC jana wamecheza mechi ya mzunguko wa tano wa Ligi Kuu ya NBC ambapo waliibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Singida FG na kuwafanya wafikishe idadi mechi 28 za Ligi Kuu walizocheza bila kupoteza.


Simba walipata magoli hayo kupitia kwa Saidi Ntibanzokinza na Moses Phiri na kufanikiwa kuweka kibindoni alama 15 ambazo zimewapeleka kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu.


Hii ni rekodi nyingine kwa Robertinho katika mechi za Ligi Kuu kwani mbali na kuwa un-beaten, mechi hizo pia zote ameshinda na hakuna hata moja aliyotoa sare.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad