Singida Big Stars watupwa nje Kombe la Shirikisho Afrika

 

Singida Big Stars watupwa nje Kombe la Shirikisho Afrika

Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Jumapili jioni Uwanja wa WE Al-Ahly mjini Cairo nchini Misri.


Singida Big Stars inatolewa kwa kichapo cha jumla cha mabao 4-2 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki mbili zilizopita Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad