Tanzania Kimpira Tuko Vizuri: Twiga Stars Yaichapa Botswana Kufuzu Mashindano ya Olimpiki 2024

Twiga Stars Yaichapa Botswana Kufuzu Mashindano ya Olimpiki 2024


Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Botswana katika mechi ya kufuzu mashindano ya Olimpiki 2024.


Mabao ya Tanzania yamefungwa na Oppah Clement na Aisha Masaka na sasa mechi ya marudiano itapigwa Oktoba 31 nchini Botswana.


Twiga Stars imeanzia hatua ya pili ya mtoano katika mashindano hayo baada ya timu ya Congo Brazavile kujitoa na ikipenya itaingia raundi ya tatu ambapo atakutana na mshindi wa mechi ya DR Congo vs Afrika Kusini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad