TANZIA: Mjukuu wa Nyeyere afariki katika ajali Arusha

 

TANZIA: Mjukuu wa Nyeyere afariki katika ajali Arusha

Mjukuu wa Mwalimu Nyerere Daudi Makongoro Nyerer, ambaye ni mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.


Amefariki kwa ajali ya gari Arusha jana mchana, Baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na Lori.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad