Tiffah, Nillan waangua kilio wakitaka Diamond alale nyumbani kwa Zari Hassan

Tiffah, Nillan waangua kilio wakitaka Diamond alale nyumbani kwa Zari

 

Kitendo cha Diamond kwenda Sauz na kisha kuzurura na wanawe kisha kuwarudisha nyumbani kiligeuka huzuni baada watoto wake kutaka walale wote nyumbani kwao.

Tiffah, Nillan waangua kilio wakitaka Diamond alale nyumbani kwa Zari

Tiffah na Nillan waliangua kilio wakitaka Diamond asiondoke, walale nyumbani kwao pamoja na mama yao na Diamond akalazimika kuwadanganya kuwa anakwenda kushughulikia kazi fulani na kesho yake, ataenda kuwachukua ili wasafiri kwenda Tanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad