UTEUZI: Sophia Mjema Uteuliwa Kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake na Makundi Maalum

UTEUZI: Sophia Mjema Uteuliwa Kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake na Makundi Maalum

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum

Kabla ya uteuzi, Sophia alikuwa Katibu wa #NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad