Waziri Mbarawa "Zanzibar Inahudumia Ndege Nyingi Kuliko Dar es Salaam"

Waziri Mbarawa "Zanzibar Inahudumia Ndege Nyingi Kuliko Dar es Salaam"


Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema Zanzibar Airport inahudumia ndege nyingi kuliko Dar es salaam Airport na kusema anga bado halijajaa kupokea ndege zaidi.


Mbarawa amesema hayo leo October 02,2033 wakati akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu mapokezi ya ndege mpya, Boeing 737 Max 9.


“Airport Duniani kila baada ya dakika 5 kuna ndege lakini Airport ya Dar es salaam unaweza kukaa saa nzima hujaona ndege, kwa Tanzania Airport ambayo iko busy ni Zanzibar sio Dar es salaam, Zanzibar miruko ni mingi kuliko Dar es salaam na bado anga halijajaa."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad