Aliyekuwa Mke wa Haji Manara Atoa Mpya "Serikali ianze Kutulipa Wanawake Warembo"

 

Aliyekuwa Mke wa Haji Manara Atoa Mpya "Serikali ianze Kutulipa Wanawake Warembo"

Mwanadadada Rushaynah ambaye aliwahi kuwa mke wa Haji Manara amesema kuwa kutokana na urembo wake alio nao, anapendekeza Serikali ya Tanzania ianze kuwalipa wanawake warembo nchini.


Kupitia mitandao yake ya kijamii, Rushaynah ambaye kwa sasa anaishi zaidi Dubai kuliko Tanzania amesema;


"Leo nimeamka nikatizama picha zangu and I was like daaaaammuuuuu, sema hiki chuma kimenyooka sana jamaniii mashallah. Hii nchi ingeanza kutulipa kodi warembo maana tunawakirisha nchi vizuri kabisa," amesema Rushaynah.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad