Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole sabaya leo amefika katika Mahakama ya Rufaa Mkoani Arusha kwa ajili ya kuanza usikilizwaji wa rufaa aliyofunguliwa na Jamhuri kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kumuachia huru yeye pamoja na wenzake wawili ambao ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha ambayo iliwaaachia huru.
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole sabaya Afika Mahakamani Leo
0
November 01, 2023
Tags