Baada ya Kichapo Yanga Waona Isiwe Tabu, Kiingilio Mechi ya Al Ahly Kwa Mkapa Chapunguzwa


Hivi hapa Viingilio vya mchezo wetu wa pili #CAFCL dhidi ya Al Ahly SC utakaochezwa tarehe 02.12.2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

🔔𝐏𝐔𝐍𝐆𝐔𝐙𝐎 𝐊𝐔𝐁𝐖𝐀 la 𝟓𝟎% kwa Mwanachama 𝐇𝐀𝐈 linapatikana Makao Makuu ya Klabu, Jangwani.

Wahi sasa kukata tiketi yako mapema🔰

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad